Resources » News and Events

Naibu Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Argentina nchini

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akizungumza na Balozi wa Argentina nchini Mhe. Gomez Bustillo alipomtembelea Wizarani jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei 2018.

Naibu Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Argentina nchini