Resources » News and Events

Mheshimiwa Waziri Mahiga amkaraibisha nchini Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipowasili katika hafla ya jioni iliyoandaliwa na mwenyeji wake Waziri Mahiga katika Hotel ya Hyatt Regency, Dar es Salaam, tarehe 07 Machi, 2018. Anayeangalia pembeni yao ni Bw. Stephen Kargbo Mwakilishi wa UNIDO nchini.

Mheshimiwa Waziri  Mahiga amkaraibisha nchini Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO

  • Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO Bw. Li Young akiongea katika hafla hiyo
  • Mheshimiwa Waziri Mahiga akiongea kwenye hafla hiyo