Resources » News and Events

Mhe. Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Korea nchini

Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Augustine Mahiga (Mb) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Balozi Song,Geum-Young, alipomtembelea Wizarani, Dar es Salaam, tarehe 05/12/2017. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano kati ya Korea na Tanzania.

Mhe. Waziri afanya mazungumzo na Balozi  wa Korea nchini

  • Mazungumzo yakieendelea
  • Mhe. Waziri na Mhe. Balozi wakipeana mkono baada ya mazungumzo