Resources » News and Events

Mhe. Rais Magufuli awaapisha Mabalozi wa Tanzania nchini Nigeria na Sweden

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Dkt. Wilbroad Peter Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden.

Mhe. Rais Magufuli awaapisha Mabalozi wa Tanzania nchini Nigeria na Sweden

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimwapisha Bw. Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria. Hafla ya uapisho imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Februari, 2018
  • Mhe. Rais Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi walioapishwa na viongozi wengine akiwemo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (wa pili kushoto), Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (wa pili kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi (kushoto) na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo aya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.