Resources » News and Events

Kufanyika kwa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwe

Kaimu Mkurugezi wa Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji Bw. Bernard Haule akizungumza kwenye Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezajia la Jumuiya ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Kufanyika kwa Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji 

  • Naibu Katibu Mkuu wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw. Ally K. Juma akifafanua jambo kwenye Mkutano Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji ngazi ya Makatibu Wakuu
  • Sehemu ya Wajumbe kutoka nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki Wakifuatilia Mkutano
  • Sehemu ya wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano
  • Naibu Katibu Mkuu, Biashara na Uwekezaji Tanzania bara Prof. Joseph Buchweishaija (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw. Ally K. Juma (kulia), wakifuatilia Mkutano wa Dharura wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji katika ngazi ya Matibu Wakuu