Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano  wa Afrika Mashariki, Dkt.  Faraji Kasidi Mnyepe  alikutana   na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier. Mazungumzo yao yalifanyika hivi karibuni katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma. 

  • Mazungumzo yakiendeleaMazungumzo yakiendelea
  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano  wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, akiagana na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier, mara baada ya mazungumzo kati yao.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe, akiagana na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier, mara baada ya mazungumzo kati yao.