Resources » News and Events

Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Adolf Mkenda akifanunua jambo kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Bibi Natalie BOUCLY walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu Prof. Mkenda amemuhakikishia ushirikiano Mkurugenzi Mkazi wa UNDP katika utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya maendeleo nchini.

Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini

  • Katibu Mkuu Prof. Mkenda akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) nchini Bibi Natalie BOUCLY
  • Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mazungumzo. Wengine ni Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa Wizarani Balozi Celisitine J Mushy (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Mradi kutoka UNDP Bw. Amon Manyama (wa kwanza kushoto)