Resources » News and Events

Serikali kutoa viwanja kwa ajili ya Mabalozi kujenga ofisi na makazi Dodoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akiongea katika kikao na Waheshimiwa Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wa hapa nchini kuhusu Mpango Mkuu wa mji wa Serikali mjini Dodoma ambao utakuwa na eneo kwa ajili ya wanadiplomasia.

erikali kutoa viwanja kwa ajili ya Mabalozi kujenga ofisi na makazi Dodoma

  • Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mhe. Thami Mseleku akiuliza swali kuhusu mpango mkuu wa mji wa Serikali Dodoma.
  • Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mshereheshaji wa kikao, Bi. Mindi Kasiga akitoa utaratibu na ratiba ya kikao hicho.