Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi Kenya Nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu. Mazungumzo yao yalihusu kuimarisha ushirikiano kati ya nchi mbili ikiwemo kutatua changamoto za kibiashara