Dkt. Mnyepe afanya mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa nchini Mhe. Monica Patricio Clemente. Mazungumzo yao yamefanyika katika Ofisi Ndogo zilizopo jijini Dar es Salaam tarehe 04 June, 2019

  • Mazungumzo kati ya Dkt. Mnyepe (wa pili kutoka kulia) na Balozi Clemente (wa pili kutoka kushoto) yakiendelea, wa kwanza Julia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Wilbroad Kayombo akiMazungumzo kati ya Dkt. Mnyepe (wa pili kutoka kulia) na Balozi Clemente (wa pili kutoka kushoto) yakiendelea, wa kwanza Julia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Wilbroad Kayombo aki