Dkt. Mlima awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais Museveni

Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P.  Mlima (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Kampala, Uganda tarehe 25 Septemba 2018.                                                                              

  • Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasilisha Hati za UtambulishoBalozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho
  • Mhe. Rais Museveni na Mhe. Balozi Mlima wakiwa katika picha ya pamoja na wasaidizi waoMhe. Rais Museveni na Mhe. Balozi Mlima wakiwa katika picha ya pamoja na wasaidizi wao