Resources » News and Events

Dkt. Mahiga akutana na Waziri Mkuu wa Israel

Waziri Mkuu wa Israel, Mhe. Benjamin Netanyahu (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga kwa ajili ya kufanya mazungumzo jijini Jerusalem, Israel leo. Wawili hao walikubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu, afya, utalii na uwekezaji.

Dkt. Mahiga akutana na Waziri Mkuu wa Israel