Skip to main content
News and Events

BALOZI WA CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O'Donnel  kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 8, 2018