Resources » News and Events

Balozi Migiro azindua rasmi Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza-ATUK

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro akiitazama keki iliyoandaliwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza (Association of Tanzanians in the UK-ATUK)

Balozi Migiro azindua rasmi Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza-ATUK

  • Mhe. Balozi Migiro akifurahia jambo na sehemu ya Watanzania walioshiriki uzinduzi huo
  • Sehemu ya Watanzania na wageni waalikwa waliohudhuria tukio hilo la kihistoria