Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje yapitishwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wabunge wakati wa kujadiliwa Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019

 • Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) wakimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani ) alipokuwa akijibu maswali Bungeni.Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango pamoja na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) wakimsikiliza Prof. Palamagamba John Kabudi (hayupo pichani ) alipokuwa akijibu maswali Bungeni.
 • Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Kangi Lugola (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Kangi Lugola (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 • Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 • Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalim akihutubia kwenye ufunguzi wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, ambapo amesisitiza umuhimu waWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalim akihutubia kwenye ufunguzi wa zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, ambapo amesisitiza umuhimu wa
 • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damasi Ndumbaro (Mb.) akijibu maswali mbalimbali Bungeni wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damasi Ndumbaro (Mb.) akijibu maswali mbalimbali Bungeni wakati wa kupitisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro wakipongezwa na Wabunge Mbalimbali mara baada ya kupitishwa kwa BajetiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro wakipongezwa na Wabunge Mbalimbali mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti
 • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (Mb.) akipongezwa na Mhe. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini.Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (Mb.) akipongezwa na Mhe. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini.
 • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akishauriana jambo na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awaliWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akishauriana jambo na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awali