Press Release

PUBLIC ANNOUNCEMENT

PUBLIC ANNOUNCEMENT The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania wishes to remind the General Public and All People in need of Certification of Documents to be…

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inapenda kuwajulisha wananchi na jumuiya ya kimataifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje…

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ubelgiji yaambiwa iongeze uwekezaji nchini, Mhandisi Manyanya Ubelgiji imetakiwa kuongeza kiwango cha uwekezaji nchini ili kuchochea zaidi kasi ya azma ya Serikali ya awamu ya tano ya kuifanya Tanzania kuwa nchi…

Read More
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba John Kabudi  (Mb.) amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanikiwa kuwa Taifa moja linaloendelea kudumu muda wote kutokana na misingi imara i

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA MATAIFA MBALIMBALI NA BALOZI ZA TAN

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeendelea kupokea salamu za rambirambi kutoka kwa marais, mawaziri wakuu wa mataifa mbalimbali duniani kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,…

Read More

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ZIARA YA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Mhe. Lee Nak-yon atafanya ziara ya kikazi nchini kwa mwaliko wa mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano…

Read More

JAJI IMANI ABOUD ASHINDA UCHAGUZI WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JAJI IMANI ABOUD WA TANZANIA ASHINDA UCHAGUZI WA MAJAJI WA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU NA WATU Mkutano wa 33 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Afrika unaoendelea…

Read More

Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Zimbabwe nchini

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Zimbabwe nchini Mheshimiwa Emmerson Dambudzo Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe atafanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania tarehe 28 hadi 29 Juni,…

Read More

UZINDUZI WA ASSOCIATION OF TANZANIANS IN THE UK – ATUK

UZINDUZI WA ASSOCIATION OF TANZANIANS IN THE UK – ATUK 

Read More