News and Events

Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje yapitishwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na wabunge wakati wa kujadiliwa Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019

Read More

Wizara ya Mambo ya Nje yawasilisha Bajeti Bungeni

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwasilisha Bungeni Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019

Read More

Wizara ya Mambo ya Nje yawasilisha Bajeti Bungeni

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwasilisha Bungeni Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019

Read More

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kamusi ya Kiswahili na Kingereza pamoja na Vitabu vya Kiswahili Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa…

Read More

Rais Magufuli Afanya Ziara Rasmi Ya Kitaifa Nchini Namibia,Afungua Mtaa Mkubwa Uliopewa Jina La Mwl.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa mtaa Julius K. Nyerere ulipo…

Read More

Waziri Prof. Kabudi akutana na Kiongozi wa Kanisa la Othodox

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Othodox Afrika, Papa Beatitude Theodoros II,katika ofisi…

Read More

Waziri Kabudi akutana na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Bi. Jane…

Read More
Wageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hilo

Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza hapa nchini Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea katika ofisi…

Read More