News and Events

Balozi Mteule wa Australia awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Balozi Mteule wa Australia nchiniTanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. WANG Ke akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.…

Read More

Mawaziri wa Tanzania na Rwanda kujadili Ujenzi wa Reli

Mawaziri wa Tanzania na Rwanda kujadili Ujenzi wa Reli Mawaziri wa Tanzania na Rwanda wanaoshughulikia masuala ya miundombinu wameagizwa kukutana mara moja kujadili ujenzi wa Reli ya kiwango cha Kimataifa kutoka…

Read More

ZIARA YA KIKAZI YA RAIS KAGAME NCHINI TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame (kushoto)…

Read More

Waziri Mahiga apokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uturuki nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Uturuki nchini, Mhe.Ali Dovutoglu

Read More

Balozi Mteule wa Ufaransa awasilisha Nakala za Hati za Utambulisho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, Mhe.Frédéric Clavier.

Read More
Balozi Possi Akabidhi Hati za Utambulisho Nchini Austria

Balozi Possi Akabidhi Hati za Utambulisho Nchini Austria

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani na Austria Mheshimiwa Dkt. Abdallah Possi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Austria Mheshimiwa Dkt. Alexander Van der Bellen kwenye hafla fupi ya kujitambulisha iliyofanyika…

Read More

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ampokea Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ampokea Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Nyusi

Read More