Diaspora News

Serikali Kuwatumia Wataalamu wa Kitanzania Walioko Ughaibuni (Diaspora) na ndani ya nchi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko ndani ya nchi na wale walioko ughaibuni (Diaspora) katika kutekeleza mipango yake kadhaa yenye umuhimu kwa Taifa.

Read More