Resources

BALOZI WA UAE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi kwenye sherehe iliyofanyika…

Read More

Taarifa kwa Vyombo vya Habari kuhusu fursa za ufadhili wa masomo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI FURSA ZA UFADHILI WA MAFUNZO Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore kupitia Programu…

Read More

Announcement for Opportunities to Study in Ireland

PRESS RELEASE Announcement for Opportunities to Study in Ireland Applications are invited from qualified Tanzanians to apply for Irish Aid Fellowship Programme for the year 2018/2019. The call for applications is…

Read More

PUBLIC ANNOUNCEMENT

PUBLIC ANNOUNCEMENT The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania wishes to remind the General Public and All People in need of Certification of Documents to be…

Read More

Naibu Balozi wa Israel nchini Mhe. David Eyal atembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiongea jambo na Naibu Balozi wa Israel nchini mwenye  makazi yake jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Eyal David alipotembelea…

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inapenda kuwajulisha wananchi na jumuiya ya kimataifa kupitia vyombo vya habari vya ndani na nje…

Read More

Dkt. Ndumbaro aapa kuwa Mbunge wa EALA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro(Mb) ameapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Katika tukio hilo Dkt. Ndumbaro alisindikizwa na Mhe.…

Read More