Resources

Tanzania na Uganda zajadili Kuboresha Sekta ya Uchukuzi

Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt Aziz P. Mlima akiwa katika mazungumzo  na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Mheshimiwa Mhandisi Monica Ntega  mjini Kampala ambapo walizungumzia changamoto…

Read More

Tanzania and Kazakhstan establish diplomatic relations

The Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations, H.E Ambassador Modest J. Mero (R) and Permanent Representative of Republic of Kazakhstan to the United Nations, H.E  Ambassador…

Read More

ZIARA YA PAMOJA YA NAIBU MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA FEDHA MPAKANI HOROHORO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango  Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) kwa pamoja wamefanya ziara kwenye kijiji cha…

Read More

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Namibia nchini.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Namibia Mhe. Balozi Theresia Samaria.  Mazungumzo hayo  ambayo…

Read More
Serikali ya awamu ya tano haichukii wawekezaji, Dkt. Magufuli

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Akizungumza kwenye mkutano huo, Mhe. Dkt. Ndumbaro alisema lengo la ziara yao katika kituo hicho cha kutolea huduma kwa pamoja Mtukula ni pamoja na kujionea mafanikio na kubaini changamoto zinazokabili utendaji…

Read More

Naibu Mawaziri watembelea Kituo cha kutoa huduma kwa pamoja cha Mtukula.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb.) amekutana na Naibu Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Uganda, Mhe. Julius Wandera Maganda katika Kituo…

Read More

Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa EAC wamalizika Arusha

Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwa wamesimama kutoa heshima wakati wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ukiimbwa kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa 20 wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya…

Read More

Kampuni ya Kenya kununua tani laki moja za korosho Tanzania

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Taifa ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Dkt. Hussein Mansoor (kushoto) kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya INDO Power Solutions ya nchini Kenya, Bw. Brian Mutembei (kulia) wakisaini…

Read More