Resources

Waziri Prof. Kabudi akutana na Kiongozi wa Kanisa la Othodox

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika mazungumzo na Kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Othodox Afrika, Papa Beatitude Theodoros II,katika ofisi…

Read More

Waziri Kabudi akutana na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Uingereza (DFID) Bi. Jane…

Read More

Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza hapa nchini Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea katika ofisi…

Read More

Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Iran nchini Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimuelezea jambo Balozi wa Iran hapa nchini Mhe. Mousa Farhang alipomtembelea katika ofisi ndogo za Wizara…

Read More

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (Afdb) aitembelea Tanzania

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina alipokwenda kumpokea katika uwanja wa ndege…

Read More

Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Sarahawi awasilisha nakala za hati za utambul

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.) akipokea nakala za hati za utambulisho za Mhe. Mahayub Buyema Mahafud, Balozi mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Read More

Prof. Kabudi ala kiapo cha utii Bunge la Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.), akila kiapo cha utii mbele ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ili kuwezesha kushiriki kwenye Bunge hilo …

Read More