Home » Highlights » Waziri Membe ahudhuria Mkutano wa Helsinki +10 |
|
Waziri Membe ahudhuria Mkutano wa Helsinki +10
Posted: Monday February 13, 2012 1:43 PM BT
![]() Mhe. Waziri Bernard K. Membe (2-kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa katika maongezi na Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro (2-kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Mhe. Mary Robinson (kulia), Rais Mstaafu wa Ireland na Mhe. Balozi Muhammed Mwinyi Haji Mzale, Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Finland, katika VIP ya uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Helsinki, Finland. Waziri Membe yuko nchini Finland kuhudhuria Mkutano wa Helsinki+10, ambapo Mhe. Membe ni Mwenyekiti Mwenza wa Mchakato huo. |