Home » Highlights » Rais wa Namibia awasili nchini |
|
Rais wa Namibia awasili nchini
Posted: Thursday December 08, 2011 11:37 PM BT
Mhe. Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akimtambulisha Mhe. Rais Hifikepunye Pohamba, Rais wa Jamhuri ya Namibia kwa maofisa mbalimbali waliofika kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kuwasili nchini.
![]() Rais Pohamba ameongozana na msafara wa watu 12, katika kushiriki kwenye sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, ambazo zitafanyika tarehe 9 Desemba, 2011 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. |