Home » Highlights » Rais wa Msumbiji awasili nchini
RSS News
Rais wa Msumbiji awasili nchini
Posted: Thursday December 08, 2011 10:34 PM BT
Rais wa Msumbiji Mhe. Armando Guebuza amewasili leo nchini kuhudhuria sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Rais Guebuza alipokelewa na Mhe. Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
image

Mara baada ya kuwasili nchini kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Guebuza alitambulishwa kwa Mhe. Mathayo David Mathayo (Mb), Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania.