Home » Highlights » Rais wa Malawi awasili nchini
RSS News
Rais wa Malawi awasili nchini
Posted: Thursday December 08, 2011 10:11 PM BT
Waziri Bernard K. Membe (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akimtambulisha Rais wa Malawi Mhe. Bingu wa Mutharika, kwa viongozi wa Serikali ya Tanzania, akiwemo Mhe. Profesa Jumanne Maghembe, Waziri wa Kilimo (3-kulia), mara baada ya kuwasili leo jijini Dar es salaam.
image

Rais Mutharika anaongoza ujumbe wa watu 15 nchini, kwa madhumuni ya kuhudhuria sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambazo zinatarajiwa kufanyika tarehe 9 Desemba 2011 kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.