Home » Highlights » Rais wa Bunge la Korea awasili nchini
RSS News
Rais wa Bunge la Korea awasili nchini
Posted: Thursday December 08, 2011 9:47 PM BT
Rais wa Bunge la Korea, Mhe. Kim Jong Nam, akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili nchini kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, leo jijini Dar es salaam.
image

Mhe. Rais Kim Jong Nam yupo nchini kuhudhuria sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, akiongozana na ujumbe wa watu 17 akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea.