Home » News Highlights
RSS News
18.04.12 | Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Georgie Mh Nika Gilauri katika ukumbi wa mikutano wa Brasilia Convention Centre jijini Brasilia, Brazil,baada ya kuhudhuria mkutano wa Open Government…  more...
08.04.12 | Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akihutubia umati wa watu uliofika kwenye Tamasha la Pasaka lililofanyika hivi karibuni katika Uwanja wa Taifa jijini Dar…  more...
07.04.12 | Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwasha mshumaa kama ishara ya kuwakumbuka mamia ya watu waliouawa nchini Rwanda mwaka 1994. Maadhimisho hayo yalifanyika…  more...
07.04.12 | Balozi Fullam akifurahia zawadi ya Picha ya Wanyama aliyokabidhiwa na Mhe. Balozi Liberata Mulamula, Msaidizi Mwandamizi wa Rais katika Masuala ya Diplomasia kama kumbukumbu ya Tanzania atakapoondoka.  more...
Page 2 of 17 pages  <  1 2 3 4 >  Last »