Resources » News and Events

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Korea-Afrika atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Balozi Dkt. Aziz Mlima (kulia) akibadilishana kadi za mawasiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Korea-Afrika (Korea-Africa centre) cha Jamhuri ya Korea, Balozi KIM IL Soo kabla ya kufanya mazungumzo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Korea-Afrika atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

  • Balozi Mlima akiwa katika mazungumzo na Balozi KIM ambapo walijadiliana namna ya Tanzania na Korea zitakavyoboresha mahusiano ya kidiplomasia na kusisitiza umuhimu wa Chuo cha Diplomasia na Kituo cha Korea-Afrika kuwa na ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo kubadilishana walimu na wanafunzi.
  • Mazungumzo yakiendelea
  • Balozi Mlima akimkabidhi Balozi KIM kifurushi cha zawadi ya kahawa na chai ya Tanzania
  • Picha ya Pamoja