KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU CHA UJIRANI MWEMA BAINA YA TANZANIA NA UGANDA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Aziz Mlima akizungumza wakati akifungua mkutano wa ujirani mwema kati ya Tanzania na Uganda, ngazi ya Makatibu Wakuu. Mkutano huo unao jadili pia masuala ya mpaka umefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa ELCT Mjini Bukoba, Mkoani Kagera.
  • Ujumbe kutoka nchi ya Uganda wakifuatilia kwa makini hotuba ya Dkt. Mlima (hayupo pichani), alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi.