Resources » News and Events

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Finland nchini

Prof. Mkenda akimweleza jambo Balozi Hukka wakati wa mazungumzo yao. Pamoja na mambo mengine walizungumzia kuimarisha ushirikiano katika masuala ya elimu, biashara na uwekezaji ambapo Prof. Mkenda alitumia fursa hiyo kumshukuru Balozi Hukka kwa msaada unaotolewa na Serikali yake kwa Taasisi ya Uongozi.

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Finland nchini