Resources » News and Events

Chungulia Fursa Boda to Boda

Ujumbe wa kutaka vijana na Watanzania kwa ujumla wazinduke ili wanufaike na soko la Afrika Mashariki ulifikishwa kwa njia tofauti ikiwemo sanaa ya maigizo.

Chungulia Fursa Boda to Boda

  • Bw. Justin Kisoka, Mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye amebobea katika masuala ya uchumi akitoa somo namna vijana wa Kitanzania watakavyoweza kuuza bidhaa zao ndani ya soko la Afrika Mashariki lenye nchi sita na idadi ya watu wanaofikia milioni 165.
  • Mfanyabiashara akielezwa namna bidhaa zake ambazo amezibeba kichwani atakavyoweza kuziuza katika nchi za Afrika Mashariki na kupata faida kubwa.
  • Bw. Abel Maganya, Mtaalamu wa Masuala ya Afrika Mashariki kutoka Wizara ya Mambo ya Nje akitoa somo kwenye viwanja vya furahisha.
  • Baadhi ya Wananchi waliojitokeza katika viwanja vya furahisha